King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
JMo Namtabiria kuvunja mwiko kwenye Tuzo za ndani Mwaka 2012. Hajawahi kupata tuzo yoyote pamoja na kuwa mkongwe anaye-heat all the time. Tuzo na mishongo atakayopata JMo itachangiwa sana na Harakati za VINEGA.
Msanii Juma Mchopanga aka Jaymo amefanya wimbo na msanii kutoka marekani ajulikanaye kwa jina la MIMS,jina la wimbo huo ni Never be me.
Big up Jaymo wimbo mzuri sana na umetutendea haki kwa chance hio na sio AY amepata chance na Master P na Lil Romeo ameenda kuimba viduku
Si siku hizi yupo kambi ya virusi wa clouds? Kama ndivyo yes atapata.
Wimbo mzuri na mixing iko kwa kiwango cha juu sana sidhani kama hii mixing imefanyika bongo, big up bro kazi nzuri.
nampa suport zangu cos namkubali tangu nasoma he is real artist
haina noma wakuu ngoja nitafute link niudondoshe,yani wadau bonge la wimbo tyt kinomaa,jaymo ajatuangusha,,ay inabidi afuate nyayo za jaymo sio anapata chance halafu anatuimbia viduku
hizo chuki binafsi na ambwene alikuchukulia dadaako au demu wako nn....viva le ay
hizo chuki binafsi na ambwene alikuchukulia dadaako au demu wako nn....viva le ay