Jay Mo ni msanii anayeongoza kwa uongo

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Jumanne mchopanga ni msanii mzuri sana na ninamkubali sana kuliko msanii yeyote bongo nzima,ila tatizo la huyu jamaa ni uzushi tu.jamaaa ni mzushi sana na nahisi hata tabia za kinafiki lazima anazo.jamaa kaanza kutudanganya miaka nenda rudi kwamba atatoa album inayoitwa Moekmentary,cha ajabu hadi leo ni holla.

hakuna cha album wala mixtape.sasa sijui anamuongopea nani.na juzi kati katudanganya tena kwamba atatoa ngoma wiki hii baada ya pesa madafu kufanya vyema,ila hadi dakika hii hakuna ngoma wala nini.kwa nini wasanii wa bongo ni waongo sana?

Yaani ni waongo hawaaminiki kauli zao kabisa,hata tukianza kuwaorodhesha hapa waliotoa ahadi kedekede ni wengi sana.hata yule msanii wa Mbeya anaitwa Adili aliahidi kutoa wimbo na cpwaa ila hadi leo sijui kapotelea wapi hata haijulikani alipo,
 
Ndo umsikie sasa akiulizwa kuhsu mziki wa bongo fleva ndo atapondo wasanii mpaka bas utafkir yeye ndo diamond
 
Mipango sio matumizi labla hayo anayoyapanga yako juu ya uwezo wake
 
Ndo umsikie sasa akiulizwa kuhsu mziki wa bongo fleva ndo atapondo wasanii mpaka bas utafkir yeye ndo diamond
Achana na muziki kabisa maana wwtu kama nyie ndio mnaodumaza muziki wetu
 
Una sound kama una obsession na Jaymoe kiasi una pay attention na kila anachosema...

hutokea baadhi ya mashabiki wakawa na mapenzi makubwa na sanaa ya msanii kuliko msanii mwenyewe...

pole saana
Asante mkuu,vipi lakini
 
naona unamtfutia kick japo yee ni msanii mkubwa tyri!!
 
Sijui kakuchukulia wifi yako, maana umeandika kama una hasira nae sana.
 
Hata wewe kuna baadhi ya mipango yako uliyokuwa nayo haikutimia, Jay Moe ni binadamu kama wewe hivyo hata yeye kuna mambo huwa anapanga na hayatimii.
 
Yaani we jamaa nimekudharau kama uharo wa urojo, ...Juma Mchopanga kawa Jay Mo kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] ....mrudishie visenti vyake ulivyomlia ili kumpa late kick hata jina lake la kweli hulijui chaaa
 
Ndio Jay Mo c anaitwa Juma Mohammed Mchopanga sema yeye kasema Jumanne ndipo kuna ukakasi
 
Inaonekana una mkubal sana
 
Hicho ndo kigezo cha wewe kusema jamaa ni muongo kuliko wote?
 
Yaani we jamaa nimekudharau kama uharo wa urojo, ...Juma Mchopanga kawa Jay Mo kweli[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] ....mrudishie visenti vyake ulivyomlia ili kumpa late kick hata jina lake la kweli hulijui chaaa
Kwa hiyo wewe ndio unamjua sana? Haya tuambie jina lake halisi basi na sio kubwabwaja tu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…