Jay Mo:Sisi ndio tulitakiwa kutumia madawa ya kulevya, Wasanii wa sasa wanaotumia ni wajinga sana,

Sawa-Sawa! Brother
Mzee wa kimya-kimya

Kizazi chenu nadhani nyinyi ndiyo Mungeteketea sana lakini inashangaza hawa Ma-mc viduku na bongofleva uchwara ndio wanaangamia.
---------------------------
"Ukishakuwa Maarufu lazima ukubali skendo sio kilasiku watisifu lazima wapige dongo kuna wengine hawapitishi hata wiki wamefanya Jambo na wengine wakiona hawasikiki basi hujifanya wanaskendo//
JUMA ndo yule yule umashuhuri haujamubadirisha.-Mo"


NB: Watch the Company you keep and The crowd you bring.
 
Heheh we jmo ndo wakuongea unafki huu... Acha kwanza unayofanya ndo uanze kuongea hayo..[HASHTAG]#najua[/HASHTAG] nachokisema na ninamaanisha..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…