Jay Mo vs Mwana FA: Nani alikuwa hatari zaidi?

Jay Mo vs Mwana FA: Nani alikuwa hatari zaidi?

barcelonista

Senior Member
Joined
Apr 26, 2021
Posts
158
Reaction score
149
Jay Mo, Ulimwengu ndio Mama, Mawazo ya Jay Mo Album.

Na hits kibao (single) Featuring za kutosha, Remix za kutosha.

Mwana FA, Mwanafalsafa, Unanitega Album.

Na hits kibao (single) featuring za kutosha, Remix nyingi pia.

Ok, ok at their peaks kati ya JAY MO Na MWANA FA nani alikuwa hatari zaidi?

#forgive me.
 
Album pekee enzi hizo nilizowahi nunua na kuwa na uwezo wa kusikiliza mwanzo mwisho ni album ya Mwana FA, Ngwea, Dully Sykes na Prof J.

Nyingine zote zilikuwa na hit song 1-3, nyimbo 5 zinazobaki hazina hata mvuto.
 
Haha
 
ukiwa fukara kamwe hauwezi kuwa kiburi,
maskini jeuri ni msemo tu usiuweke kwenye akili
mwanaume kuwa na tajiri ni sawa na demu kuwa mzuri
Mwana Fa
 
Wote waandishi wazuri, kwangu mo kamzidi FA jinsi anavyoflow, Mo anadondoka na biti vizuri mnoo, hapa FA hamuwezi hata kidogo
 
FA anamzidi mbali sana kwa uandishi wa mashairi J mo. Japo J mo nae amebarikiwa sauti na flow nzuri kumzidi FA.
 
Back
Top Bottom