barcelonista
Senior Member
- Apr 26, 2021
- 158
- 149
HahaAlbum pekee enzi hizo nilizowahi nunua na kuwa na uwezo wa kusikiliza mwanzo mwisho ni album ya Mwana FA, Ngwea, Dully Sykes na Prof J.
Nyingine zote zilikuwa na hit song 1-3, nyimbo 5 zinazobaki hazina hata mvuto.