Jay Moe atamba kusoma na Rais wa DRC Joseph Kabila

Ukienda kariakoo mtaa Tandamti bado zipo nyumba za udongo
 
Huyu chinga ina maana Tangu azaliwe mpk anaanza form 1 hakuwahi kwenda kwa bibi na babu huko kwao lindi?

wamakonde wenzangu wanazidi kuniabisha asee,juzi harmonize kasema haipendi ngozi nueusi na hataki watoto wake wawe weusi,leo Mchopanga nae anasema hakuwahi kujua kama kuna Nyumba za udongo,wakatikwa miaka ya 90 kurudi nyuma msasani na mikocheni pale chama ile mitaa ya kina babuu wa kitaa nyumba za udongo zilikua kibao.
 
Kwani yuko wapi siku hizi na anafanya nini?
 
brazameni kidole huyo amesema amezaliwa sinza ss late90s nyumba za udongo sinza dar nzima c kibao t!
 
Wengine J.Kabila kasoma Sangu sec,wengine Iyunga,na Jmoe anasema kasoma nae Irambo... which is which.
We acha tu ndugu yang mim ninachokijua joseph kabila kasoma sangu sasa sijui hizo shule zimetokea wap
 
Nko tofauti na wengi sana naona wote ni binadamu hata awe vp ni binadam tu
 
NDIO UJUE WATU WENGINE HAWAJUI KUDANGANYA. YAANI DAR MOAKA BAGAMOYO KIGAMBONI KUNA NYUMBA KIBAO ZA MBAVU ZA MBWA. HALAFU YEYE ASEME AMEZIONA AKIWA ANENDA MBEYA
 
Ni kweli hata mie kabila nilimkuta Irambo kuna Arthur mwambene Javan bway shehiza wote walisoma pale
 
Huyo dada yake kabila(Cesi) anaishi na mshkaji mmoja beach boy,,, wanapiga hela za madini ya Congo ni nouma ,,,,,,jamaa alikuwa choka mbaya,,ila nowadays yupo njema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…