Jay Moe, rudi kwenye gemu!

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Juma mchopanga a.k.a mbakiaji. Mkimuona mwambieni arudi kwenye game watu tumemic mistari. Toka am so famous na producer bora kuliko wote africa mashariki, p funk, hatujamsikia.
Mkimuona mwambie arudi, kwani eti ney wa mitego naye anaimba hip hop. Chid benz naye anatamba!
Hadi zola d eti naye anaimba! Moe rudi mjomba. Masikio ya hiphop yana njaaa
 
Jamaa anauwezo sana ila hana bahati...nikikumbuka ngoma zake...eti kisa mtoto wa mama wananiita bishoo, kuna hii ya kimyakimya...ndio maana nikitaka kusikiliza bongo fleva ni za zamani tu.!!!
 
Majembe kama haya afu ndo hayauzi, me namshauri angehama nchi bongo (wabongo) wanapenda miziki ya mapenzi mapenzi tuuu, ukate kiuno kidogo ndo full shwangwe ila majembe kama haya hayathaminiwi na hata wanaowakubali hawawa support kabisaa, huyu mtu ni kichwa hamna cha fid Q (mwimba nahau na methali) wala fid Z
 
Mwenzenu ndo nna majukumu Majukumu Majukumu!
JayMoe mbakiaji Hakuna kama yeye Tanzania hii..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
jay Moe ni khabari nyingine sema hana kismati. Jamaa toka tangu na tangu anajua kugani rhymes zenye mpangilio na mashairi safi.
Toka maisha ya boarding mpaka I am so famous
 
nakubaliana na wewe ....anastaili ya kipekee.!!
 
kweli aisee. ila fareeed ni bad number pia
 
Namis sana ladha za jay moe,,jamaa ni jembe la ukweli tukianza na; we bishoo tu,mvua na jua bora nini?maisha ya boarding,tingisha feat. tid,majukumu,jipange,cheza kwa step feat ngwair,kimya kimya feat ngwair,kwenda kwa mganga,famous..........
Hongera sana kaka mkubwa jay moe
 
yupo uholanzi,kaenda mwaka jana mwshon,cdhan kama atarud bongo tena..
 
Ukishakuwa maarufu lazima ukubali skendo...
sio kila siku watasifu lazima watapiga dongo...
Kuna Wengine hawapitishi hata wiki wamefanya jambo...
Na wengine wakiona hawaskiki watajifanya wana skendo...
Juma ndo yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kipara hakuna nywele style ya kiduku itapita...

Am so Famous
 
Jamaa anauwezo sana ila hana bahati...nikikumbuka ngoma zake...eti kisa mtoto wa mama wananiita bishoo, kuna hii ya kimyakimya...ndio maana nikitaka kusikiliza bongo fleva ni za zamani tu.!!!

Ukipata wasaa check nae kwenye kitu ''KAMA NATAKA DEMU lakini tuanzie makumbusho, awe mfano wa FiFi madada zangu waitwe Wifi, sio Nkinde sio Leila mtaa wao wa Miyeyusho...''
 
Fid Q Uharo.
Tena uharo wa Bata alietoka kulalia.
Hana anachojuwa zaidi ya kuiba mashairi ya akina Sheikh Suleiman Hega na Maalim Andanenga.

Misemo, nahau na Methari anazotumia zilishatungwa na watu, yeye anatakiwa aweke wowowo chini kisha aje na kitu kipya ambacho hajacopy popote.
 
Mwenzenu ndo nna majukumu Majukumu Majukumu!
JayMoe mbakiaji Hakuna kama yeye Tanzania hii..
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ana ngoma yake inaitwa Mawazo na pia kuna nyingine inaitwa Story 3...

He is Maestro
 
jay Moe ni khabari nyingine sema hana kismati. Jamaa toka tangu na tangu anajua kugani rhymes zenye mpangilio na mashairi safi.
Toka maisha ya boarding mpaka I am so famous

''Amani kwa Kaka Voda Milionea wastue akina LANGA waache Poda wale mmea...

Jipange...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…