Gang Chomba
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 20,649
- 4,786
fareed simwelewagi vizuri, ila jmo a.k.a mchopanga anasomeka vya kutosha.!!
more tecnique more flavour
Jay Mo mimi namfananisha na NAS ESCOBER kila track yake ni kali
''Amani kwa Kaka Voda Milionea wastue akina LANGA waache Poda wale mmea...
Jipange...
yupo uholanzi
Labda kwa Face
Daaaaaaaah nimemis sana mistari ya Moe mshkaji ni mkali:lying:Juma mchopanga a.k.a mbakiaji. Mkimuona mwambieni arudi kwenye game watu tumemic mistari. Toka am so famous na producer bora kuliko wote africa mashariki, p funk, hatujamsikia.
Mkimuona mwambie arudi, kwani eti ney wa mitego naye anaimba hip hop. Chid benz naye anatamba!
Hadi zola d eti naye anaimba! Moe rudi mjomba. Masikio ya hiphop yana njaaa
Hawa waache wapotee na wataendelea kupotea sana tu, na wasiojuwa lolote kwenye muziki wataendelea kupiga Bingo ndefu kwa awamu, mtu anaimba tu Mama kidoti mamaa, mama sepetu mamaa, Mama Duaimond Mamaa, ushuzi mtupu na ndio wanaoingiza pesa.
Sugu aliwaonesha mapema namna ya kupambana na mfumo kandamizi na akandaa Hip Hop Summit akawaleta na jamaa zake kutoka USA lakini ilikuwa ni kazi bure. sintokaa niwaurumie watu wasiokuwa na umoja hata chembe, wanapitwa hata na Bongo Movie wenye vyama vyao vya kisanii sanii?
Juma mchopanga a.k.a mbakiaji. Mkimuona mwambieni arudi kwenye game watu tumemic mistari. Toka am so famous na producer bora kuliko wote africa mashariki, p funk, hatujamsikia.
Mkimuona mwambie arudi, kwani eti ney wa mitego naye anaimba hip hop. Chid benz naye anatamba!
Hadi zola d eti naye anaimba! Moe rudi mjomba. Masikio ya hiphop yana njaaa