Jay z akataa kua best man katika harusi ya kanye west

Jay z akataa kua best man katika harusi ya kanye west

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Kutoka kwenye mitandao tofauti ya Marekani kuna stori zimemake headline zinazowahusisha Jay Z na Kanye West ambao ni washkaji walioshirikiana kufanya album moja ya Watch the Throne ambayo ilitoka August 08 2011.
Story hiyo inasema kuwa Jay Z amegoma kuwa best man kwenye harusi ya Kanye west na mpenzi wake Kim Kardashian.
Miongoni mwa sababu zilizotajwa ni kusemekana kuwa Jay Z hapendi na hayuko tayari kutokea na kuonekana kwenye Reality Tv show,Jiga ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 44 ni mume wa Beyonce na tayari ni baba wa mtoto wa miaka 2 aitwae Blue Ivy.
Kwa sababu hizo ni kwamba Jay Z hatapenda kutokea kwenye show ya maisha ya familia ya Kardashian maarufu kama The Kardashians,gazeti la Daily Star limeandika kuwa Jay Z ndiye msanii rafiki mkubwa wa Kanye West na anavigezo vyote kuwa msimamizi wake,
Masharti aliyoweka Jay Z amedai atakubali kuwa Best man wa Kanye West endapo kama hapatakuwa na mpiga picha yoyote wa kipindi hicho cha Kim K,mpaka sasa waongozaji wa kipindi cha Kim K na mabosi wa kituo cha E wako tayari kutoa hata dola milioni 1 ilikupata Picha za Jay z na Beyonce kwenye harusi hiyo.
 
jay-z-7eedc2a62d1fc175080ef7736ed0bc81561beb7b.jpg
Jay Z

Jay Z is said to have rejected the chance to be Kanye West's best man at his wedding to Kim Kardashian because he is totally against appearing on her reality TV show.

The 44-year-old rapper only agreed to the idea initially providing his family - including wife Beyonce and their two-year-old daughter Blue Ivy - wouldn't be filmed for Kim Kardashian's reality show.

Speaking to the Daily Star newspaper, an insider revealed: "Jay is Kanye's closest friend so he wants him to be best man.

"Jay agreed initially but had one condition - under no circumstances can there be any reality TV shows filming him, his wife, Beyonce or daughter Blue Ivy during the ceremony."

Meanwhile, Jay Z's wife is also said to be totally against appearing on 'Keeping Up With The Kardashians'.

The source added: "The thought of popping up in 'KUWTK' mortifies Beyonce.

"She purposefully keeps herself away from trashy TV and isn't prepared to lower her standards for anyone, or any occasion."

However, E! bosses - who run Kim Kardashian's reality show - are reportedly "desperate" to air the ceremony, meaning Jay Z may miss out on being best man.

The insider said: "Bosses at E! are desperate to get the nuptials on air, and will pay millions to make it happen."

Nakumbuka pia Beyonce alikataa kumsimamia Kim kwenye harus yake , don't know what's going on among them, wacha movie iendelee
Nilisikiaga tetesi beyonce na jay z hawakupenda Kanye alivomuacha amber akawa na kim
ukizingatia Kanye ni mtu wao wa karibu
kwa madai Kim hajatulia hana tabia nzuri so hawamkubali
usiniulize sosi tafadhali....
 
Hiyo ni kweli sababu familia ya Kardashian ni ma gold diggers wapo kimaslahi utasikia baada ya ndoa ni kuachana
 
Nilisikiaga tetesi beyonce na jay z hawakupenda Kanye alivomuacha amber akawa na kim
ukizingatia Kanye ni mtu wao wa karibu
kwa madai Kim hajatulia hana tabia nzuri so hawamkubali
usiniulize sosi tafadhali....

Mmh amber na Kim mbona kama wale wale, ila amber sijawahi msikia kukitembeza sana, duh mbona majanga, Beyonce nasikia hampend Kim kwa kuwa alitoka na husband wake jay z
 
Mmh amber na Kim mbona kama wale wale, ila amber sijawahi msikia kukitembeza sana, duh mbona majanga, Beyonce nasikia hampend Kim kwa kuwa alitoka na husband wake jay z

Kumbe alishamuonjea duh hata ningekuwa mie ningekataa kwakweli...
aaah bora amber, mi mwenyewe namkubali sana
 
Mmh amber na Kim mbona kama wale wale, ila amber sijawahi msikia kukitembeza sana, duh mbona majanga, Beyonce nasikia hampend Kim kwa kuwa alitoka na husband wake jay z

Wanaume nawapendea hapo tu; yan jayz na kanye screw the same b**ch but haijaruin ushkaji wao ila beyonce na kim wanaendeleza tu bifu
 
Wanaume nawapendea hapo tu; yan jayz na kanye screw the same b**ch but haijaruin ushkaji wao ila beyonce na kim wanaendeleza tu bifu

Girls ata wakitongozwa na same guy ni bifu tayari hahaha full drama maisha yetu sisi wasichana
 
Wanaume nawapendea hapo tu; yan jayz na kanye screw the same b**ch but haijaruin ushkaji wao ila beyonce na kim wanaendeleza tu bifu

Wanawake uwa hawajiamini wakisalitiwa na wapenzi wao, wanais may be kuna vitu ambavyo wanazidiwa na wenzao
 
Waaache wao wanampangia wa kumuoa na Kanye keshanogewaa!!
 
Back
Top Bottom