Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Ni vigumu Sana kwa tajiri kuuridhi ufalme Wa mbinguni. Ni sawa na ngamia kupita kwenye tundu La sindano. Mmh kheri yao walio amua kuwa baridi. Sio uvuguvugu.
This iznt luck wame sacrifice alot na wanajua wanapoenda after death.
na ww mwenzetu utaenda wap? naona una kipaji cha kujua maisha ya watu baada ya kufa..
au ndo utakutana nao? usimuhukumu mwenzio....
This iznt luck wame sacrifice alot na wanajua wanapoenda after death.
Sijaongea kumjudge mtu I spaek ninachoona. Kuna pics nyingi za Beyonce akijifananisha na yesu na vitu kama hivyo. Jmn sio kwa ubaya maybe huyo ni fan wako lkn is way of expressing herself ndo shida inapoanzia wala. U know what I mean but you just can't see it koz your blinded by the lies you see. Ila ukwely utabaki kuwa pale pale. You can't change the facts never. Think b4 you reply this text na holy spirit akuongoze wkt unajibu
Sijakataa hata mie sijui naenda wapi after death ila they are the mirror so to be watched ni sawa ila nilicomment tuuu what I saw maybe nlijudge bila kujua na judge. Just kugongana kwa lugha my