Nilikua na discus na watu fulani kuhusu hili swala, na wengi wao wakawa wanasema so what kama hao ma star ni devil worshipers, wao wanapenda miziki yao tu sio imani zao.
Sasa thats where the problem is. Mtu anaona hakuna harm yeyote ya kumfagilia devil worshiper na miziki yake bila kujua subconciously inamua affect sana. Tena effect inayoonekana haraka sana na kwa wazi sana ni kwa watoto wadogo.
Mtu yeyote anayekaa mjini hususan dar-es-salaam na kutembelea majumba ya starehe na sehemu za starehe, au kua karibu na mdogo wake au mwanae wa rika la kuanzia 15 hadi 25 atashangaa kuona mmomonyoka wa maadili ilivyosambaa katika society yetu.
Hii haishii hapo tu, bali pia ufisadi, ubadhilifu wa hela na miozo mingine mingi tunayolalamikia serikali yetu ni direct result ya viongozi na jamii ku idolize watu wenye misingi ya mibovu na ya kishetani.
Their emphasis on wealth and promescuity ndizo zinazofanya viongozi wakusanye mabilioni na kuyaita "vijisenti" na ngono na watoto wadogo kuiita ni tabia za "kiherehere".