Wanawazushia tu.
Bidii ya Mtu/Yako ndio itakayokufikisha kwenye Mafanikio yako.
Mengine, ni hulka zetu za kibinaadam kama ujuavyo leo hii huna mbele wala nyuma hakuna atakaesema lolote/chochote.
Sana sana utaongelewa, "jamaa amekosa mwelekeo", "jamaa hajitumi" mara "jamaa hivi" mara "jamaa vile".
Lakini pindi pale mabadiliko ya kimafanikio yatakapoanza kubadilika kidogo tu, utasikia "jamaa muuza SEMBE".
Mara "jamaa hivi" mara "jamaa vile".
Basi ilimradi tu, kwa sisi Binaadam hakuna lililojema kwetu