Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Uku tunacheka ila wenyewe kule kwenye forums za mazwazwa wameamini na wamefarijika kweli nakumbuka umu ndani pia kuna thread kua Diamond kamgomea Jay Z kujiunga na Roc Nation [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ifuate hiyo habari ndani sasa ......!!!!!
 
Hahahhahaha! Daah,hilo gazeti lina kichwa cha habari kizuri sana. Hahahah!

Japo wameandika upupu lakini wamenifurahisha.

Eti Alikiba aanza kumbembeleza Diamond. Hahhaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…