Jay Z: Bila Diamond situi Bongo!!!

Hili gazet huwa ni vichekesho loh
 
Ngoja nimvutie waya Jay Z ni wazi atanambia ukwel.Siyaamin magazet ya udaku
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji6] ati magazeti ya kufungia vitumbua
 
first time nimeliona nilicheka sana hasa hapo kwa kiba na diamond
 
Kusoma gazeti hili lazima uwe na Stroke ya Ubongo au uliwahi anguka chooni..
 
Usishangaee, huendamondi ndo muwakilishi wake katka Ile imani yao ambapo jzee ndo kiongozi[emoji48]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…