Jay Z na Beyonce kila mmoja macho kwenye simu ya mwenzake!

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

Mara nyingi tumeshuhudia ugomvi kati ya wapenzi, simu za mkononi ni moja ya sababu kubwa ambayo imekuwa ikitajwa kama sababu ya ugomvi siku hizi.

Beyonce ni mke wa Jay Z, story kubwa zaidi mitandaoni kwa sasa ziko mbili, kwanza ni zile romours za ujauzito wa staa huyo, pili ni kuhusu Bey kunaswa ana kamera akiangalia kile ambacho mumewe anakifanya kwenye simu yake!

Hapa nimekuwekea pichaz za matukio mbalimbali ya Beyonce akiangalia simu ya mumewe, lakini kumbe hata Jay pia aliwahi kunaswa akiangalia simu ya Beyonce.

Hii ilikuwa siku za nyuma, Jay yuko busy na simu yake, Bey kama anafuatilia kwa pembeni mume wake anachokifanya.


Hapa Beyonce alikuwa akiendelea na mambo yake kwenye simu, Jay nae alikuwa akifuatilia anachokifanya mkewe.


Hii ilikuwa kwenye mechi ya Basketball kati ya Houston Rockets naBrooklyn Nets, Jay na simu yake Beyonce hakuwa mbali. Mia

CC: Heaven on Earth
 
Ukiona anakufuatilia sana jua either hakuamini au anakupenda sana.
 
Karoho kanauma bana ukae na Mimi then uchat lazima nichabo nijue lipi ilo muhimu ivo!
 
Mfano mzuri huu kwamba wengi hujishaua kuwa hawagusi simu za wenzi wao, lakini ikitokea mwenzi akaacha simu kidogo tu keshacheki Sms zote, chats mbalimbali. Kumbe kucheki simu ya mwenzi hakuepukiki aisee!
 
Ni mapenzi tu hayana mzungu wala mzaramo wote ni kuchabo tuu. NA akiacha simu yake akatoka dk2 nishapitia kote ad kwenye game kufanya uchunguzi
 
Hiyo kawaida hata mm na wangu huwa tunachungulianaga yan nikisema nitoke tu utasikia to a password
 
Kwa chabo ndio mwenyewe na nikiipatia usawa nafungua vizuri siku nyengine najilaumu kwanini napekua nkikuta kitu kikaniuzi ilhali bado nampenda na siwezi kumkosa mume wangu ila sikomi tabii hii...
 
Yanii we tu naambiwa eti mara naomba cm yako kuna kitu nikague sasa ndio akute hata picha tu MTU kanitumia uwiii hayo maswal yake Mara ooh huyu nani na kwann akutumie picha naka amekutumia kwanini uendelee kuiacha kwenye cm ili uendelee kumuona sio ? Yanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…