Jay Z Producer bora wa wakati wote

Yan ilikuwa hivi...Jay ndio alo arrange wale wasanii kuimba pale cause Roc Nation wana contract na NFL kwenye ku-produce Super Bowl LIV halftime show. This is how Jay got the deal, kuna mwaka Jay aliambiwa aende akapafom run this town ila lazima aende na Ye na Riri Jay akawagomea akakataa masharti ya kitoto akawaambia ni kama wanadharau hip hop wakati ndio imedominate, ndio kumtafuta mwaka huu kumpa deal, wazungu wapuuz sana Super Bowl LIV halftime show mara nying huwa inapigwa na marock band miziki ya watu weupe sababu wanaamini ni mchezo wa watu weupe ila sasa kinachokuja kuwavuruga ni kwamba SB ina timu 32 ambazo timu 28 zote makocha wazungu na hizo timu 30 zote zinamilikiwa na wazungu kasoro timu mbili tu ila cha kushangaza zaid ya 70% ya players ni people of color...
 
Apana bana hov haandiki verse zakee ata siku moja
 
Siku nyingine mkuu ukiwa unatuma nyuzi ndefu kama hizi uwe unasindikizia na kapicha,mana sisi wengine huku village hatumjui huyo Jay-z...
 
Hip hop ya Marekani kuanzia 93 mpka 2010 walipiga mwingi sana ila hip hop hii ya kina Lil pump sijui lil Uzi vert na yule dogo shoga anaelala na mtoto wa will Smith asee naonaga hadi kinyaa kusikiliza ngoma zao zikipigwaga naondoka kabisa maeneo hayo au nazima redio[emoji23][emoji23]
 
Siku nyingine mkuu ukiwa unatuma nyuzi ndefu kama hizi uwe unasindikizia na kapicha,mana sisi wengine huku village hatumjui huyo Jay-z...
Wenzako tulibahatika kumuona mkuu

Ova
 
Is pious pious because God loves pious
Socrates asks whose bias do you'll seek
All for Plato screech,


Watch the throne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…