Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yaa DNA ni muhimu sana ili uhakika hasa kwa beyonce si unakumbuka suala la mkuu wa polisi fulani hapa nchini mpaka anatakiwa kutoa mabilioni ya tzs, hata DNA ilibidi ipite kwa huyu mpolisi!!!!!!!!!!
yaa DNA ni muhimu sana ili uhakika hasa kwa beyonce si unakumbuka suala la mkuu wa polisi fulani hapa nchini mpaka anatakiwa kutoa mabilioni ya tzs, hata DNA ilibidi ipite kwa huyu mpolisi!!!!!!!!!!
wiki chache baada ya mke wa rapper jay-z,beyonce kudai ana ujauzito,imefunguliwa kuwa rapper jay z ana mtoto wa siri wa miaka 9 aitwaye jerald andrews,akidaiwa kuzaa na schenelle scott,model toka trinidad
![]()
![]()
hapa kuna haja ya dna kweli?