Kwa nini unafiki? Kuna mtu namjua, he was a player. Yaani player tena num 9 hivi, lolunafiki full lol
Kwa nini unafiki? Kuna mtu namjua, he was a player. Yaani player tena num 9 hivi, lol
alibadilika kabisa baada ya kuzaa mtoto wa kike, he became a gentleman!
Labda, ila his fear helped him to overcome his bad habit.huo ni uoga lol
anaogopa what goes around....lol
Who is Jay Z?😛hoto:
You are mean. lolni rafiki yake mzee majuto lol
ni rafiki yake mzee majuto lol
duhhh The Boss bana..
kama hajui kutumia google tufanyaje? lol
Nadhani ulimaanisha mkeweHuyo ndo Jay Z na mkeo Beyonce..
Nadhani ulimaanisha mkewe
huo ni uoga lol
anaogopa what goes around....lol
Nadhani ulimaanisha mkewe
Kwenye thread ya kumpongeza Jay-Z kwa kupata mtoto The Boss alisema Jay-Z hajui kiswahili. Au alikua anatupoteza tu? lolYawezekana The Boss ndo Jay Z mwenyewe....wonders never ends my dear!!
Yawezekana The Boss ndo Jay Z mwenyewe....wonders never ends my dear!!
vyovyote vile inaeleweka ..
Hahahaha, yawezekana... :lol:Kwenye thread ya kumpongeza Jay-Z kwa kupata mtoto The Boss alisema Jay-Z hajui kiswahili. Au alikua anatupoteza tu? lol
The Boss, are you Jay-Z?