huyu jaydee vipi? mara aseme yeye ni bora kupita whitney houston, mara ee, ameenda shule huyu??
huyu jaydee vipi? mara aseme yeye ni bora kupita whitney houston, mara ee, ameenda shule huyu??
Well said Naniliu, hakuna kinachoshindikana mbele ya pesa na malengo akiweka malengo atafanikiwa tu.Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
hapa imewekwa mada, kama una maoni yenye maana, weka sasa wewe unatuita haters! what u mean? hapa tz tunategemea kiwanja kimoja tu, na hicho hakina std za zikamataifa, na ndio utaona baadhi ya mashirika hayaleti ndege zake hapa,kama marekani, kanada .. mpaka hapo utakuwa umeelewa....Lakini wakuu shida iko wapi? kila kitu ni malengo, kwani hao wenye kumiliki ma G500 waliziokota si walinunua? kama wao waliweza kwa nini yeye asiweze? waswahili bwana binti wa watu anajitahidi sana kwa nini msimsifie kwani ndege kitu gani bwana, aah mkatae mkubali huyu binti yuko juu na tunamuombea mafanikio zaidi ya hapo alipofika, Jide kaza buti mama utaweza kununua hata boeing sembuse Dash 8, kila kitu bidii usiwaangalie mahaters
hapa imewekwa mada, kama una maoni yenye maana, weka sasa wewe unatuita haters! what u mean? hapa tz tunategemea kiwanja kimoja tu, na hicho hakina std za zikamataifa, na ndio utaona baadhi ya mashirika hayaleti ndege zake hapa,kama marekani, kanada .. mpaka hapo utakuwa umeelewa....
Asifanye mchezo, huyu, hataweza...Ndege si kama Machozi Band, ambayo unaweza kuiendesha kwa kuwakopa wapigaji..huh!
Lau angejua gharama ambazo ndege inakula asingetamka hilo, labda kwa kujifurahisha tu.
huyu jaydee vipi? mara aseme yeye ni bora kupita whitney houston, mara ee, ameenda shule huyu??
Form Four Zanaki
Mdomo mali yake..
wacha autumie ipasavyo
hapa imewekwa mada, kama una maoni yenye maana, weka sasa wewe unatuita haters! what u mean? hapa tz tunategemea kiwanja kimoja tu, na hicho hakina std za zikamataifa, na ndio utaona baadhi ya mashirika hayaleti ndege zake hapa,kama marekani, kanada .. mpaka hapo utakuwa umeelewa....
Hivyo ndio kuchangia mada? na mambo ya kiwanja yamekujaje hapa? au amekwambia anataka kununua concorde?
Hata mie naona lakini anaweza kuwa ni mtu wa karibu sana kwa JAY DEE, u neva no.Wewe utakuwa GADNER G. HABASH AU LADY J DEE mwenyewe. Naona point zako zimelala DORO.
katika hao 17, wewe ni nani........??? Mcheza shoo, mpiga drams, mpiga tumba au............... Geti mani...???
siku moja mungu akipenda nitakuwa na ndege yangu labda, na hapo kwenye ki kadi kama hiki patakuwa pameandikwa machozi air na sio barrick tanzania.
jamani hii ndege ni ya barrick ilitumwa kutuchukua kutoka dar jumamosi asubuhi kutupeleka tulawaka na ikaturudisha tena dar jumapili asubuhi kuwahi sanya sanya ya thai village.
mnaona mambo hayo?? Sio kwamba kulikuwa na abiria wengine nooo!
si mnaona siti ziko tupu, manake machozi band plus dancers na manager captain ni watu 17 tu.
Wakuu mbona kama inakuwa ni kijiwe cha majungu tena
Kwanza dada wa watu aliweka hiyo habari kwenye blog yake kwa manufaa yake na wapenzi wake imekuwaje imekuja hapa na majungu meeeeeengiiiiiiii.lol!!!!!!!!
Pili kwani yeye kununua ndege au kuwa na malengo ya kununua ndege tatizo liko wapi???mbona watu wanaweka malengo ya kununua magari ya kifahari au nyumba za kifahari hamuwasemi???
Guys, tujue ni nini tunajadili mda mwingine sio ilimradi tu....