Jaydee kumleta Lil Wayne siku ya FIESTA

Verdy CB

Senior Member
Joined
Mar 19, 2013
Posts
149
Reaction score
66
Habari za chini ya carpet ni kwamba Lady Jay dee # ANACONDA... Atamleta bwana mdogo Lil wayne, Tarehe moja na tamasha la fiesta.... Tusubirie Clouds watamdaka msanii gani atakayekua ana show South Africa au anywhere Africa wamlete afit competitions...
Jide FANYA KWELI.
Ruge FANYA KWELI
Mashabiki tufaidike....
 
UZURI WA HILI BIFU NI FAIDA KWETU ..
chochea kuni kulaleki..
 

Ikiendelea hivi ruge na jide watadate tena.
 
Duh jide nyokooooooo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
sidhani kama kuna sponsor bongo atatoa hela ya kumleta wizzle
 
  1. Birdman – ??? We couldn't find any instances of Birdman, Dr. Dre or Diddy performing at private events. If you know of an example, please let us know so we can update our list!
  2. Dr. Dre – ???
  3. P Diddy – ???
  4. #1 Kanye West – $3 million sweet 16
  5. #1 Jay-Z – $3 million sweet 16
  6. #2 Eminem – $3.3 million for two nights at UK festival ($66k per song)
  7. #3 50 Cent – $2 million for Gadafi's son (later donated to charity)
  8. #4 Rihanna – $800,000
  9. #5 Lil Wayne – $500,000
  10. #6 Drake – $155,000
  11. #7 Nicki Minaj – $150,000
  12. #8 Akon – $120,000
  13. #9 T.I. – $110,000
  14. #10 Snoop Dogg – $105,000
  15. #11 Rick Ross – $100,000
  16. #12 Ludacris -$90,000
  17. #13 Pitbull – $85,000
  18. #14 B.o.B – $80,000
  19. #15 Wiz Khalifa – $75,000
  20. Cam'Ron – $75,000
  21. J. Cole – $70,000
  22. Young Jeezy – $60,000
  23. The Game – $60,000
  24. NeYo – $60,000
  25. T-Pain – $60,000
  26. Mac Miller – $55,000
  27. Lupe Fiasco – $50,000
  28. Mike Posner – $50,000
  29. Souja Boy – $45,000
  30. Plies – $45,000
  31. Big Sean – $40,000
  32. Taio Cruz – $42,500
  33. Wale – $40,000
  34. Kid Cui – $40,000
  35. Yelawolf – $40,000
  36. Fabolous – $35,000
  37. Lil John – $35,000
  38. Gucci Mane – $35,000
  39. Flo Rida – $30,000
  40. Juelz Santa – $30,000
  41. Keri Hilson – $30,000
  42. Waka Flocka – $25,000
  43. Jadakiss – $25,000
  44. Ginuwine – $20,000
  45. Ray J – $17,500
  46. Jim Jones – $17,000 + H2 Hummer rental and room at The Ritz
  47. Bun B – $16,000
  48. Pleasure P – $16,000
  49. Fat Joe – $16,000
  50. Tyga – $15,000
  51. Yo Gotti – $15,000
  52. Shwayze – $15,000
  53. Meek Mill – $10,000
  54. Mystikal – $10,000
 
sidhani kama kuna sponsor bongo atatoa hela ya kumleta wizzle

Amekuja Jay-Z,amekuja Rick Ross, why not wayne? Inawezekana kwa njia yoyote suala ni kujipanga tu. By the way hizi ni tetesi tu jamaa inawezekana hata ameota jana akaamua kushare ndoto na wengine
 
Amekuja Jay-Z,amekuja Rick Ross, why not wayne? Inawezekana kwa njia yoyote suala ni kujipanga tu. By the way hizi ni tetesi tu jamaa inawezekana hata ameota jana akaamua kushare ndoto na wengine
jay z ilikuwa issue ya UN ya maji( nahisi alishusha sana bei) kuhusu rossay ni dola 100,000 tu na tena hapo walimdaka kutoka south africa kama sikosei lakini weezy sio chini ya milioni 800 ya kibongo...mh labda lakini
 
Naona zinaandaliwa shoo kali kubwa kama mbili ili Fiesta watu wawe wamechoka!!
Ngoja tuone!! mimi napenda disko tu nitazama ISUMBA lounge kama kawa nikaruke old school na DJ JD along side DJ Fast eddy bhaaaaaasi!!!
 
Sie wengine wala hatuna gharama, 20% mzee wa Kimamzichana angetutosha kabisa kuliko kupoteza mamilioni yote hayo.
 
jay z ilikuwa issue ya UN ya maji( nahisi alishusha sana bei) kuhusu rossay ni dola 100,000 tu na tena hapo walimdaka kutoka south africa kama sikosei lakini weezy sio chini ya milioni 800 ya kibongo...mh labda lakini

Ndio maana nimesema inawezekana 'kwa njia yoyote' kama ilivyokuwa kwa huyo jay-z.
 
Hili ni jukwaa la Great Thinkers so unapocopy na kupaste vitu kama hivi unatakiwa uweke sorce. Hii itasaidia watu kujua kilichoandikwa kinamaanisha nini na kimetokana na nini.

Sorce hizo takwimu inasema kwa mwaka 2012 .
How Much do Rappers Make Per Concert? | Celebrity Net Worth
 

point yangu ilikuwa ni kuonyesha kwamba lil wayne hachukui chini ya dollar 600,000 na hapo sijajjua kumleta africa itakuwa ni how much plus cost za entourage yake ila kuwa great thinker basi ulete wewe costs zake
 
point yangu ilikuwa ni kuonyesha kwamba lil wayne hachukui chini ya dollar 600,000 na hapo sijajjua kumleta africa itakuwa ni how much plus cost za entourage yake ila kuwa great thinker basi ulete wewe costs zake
Data ulizoleta ni za 2012 ,hapa yanazungumziwa maswala ya 2013 . Wyne wa 2010 ni tofauti 2011,2012 na leo 2013. Nimetoa angalizo kuwa ungeweka wazi kuwa hizo ni data za mwaka gani . Ndio maana umemuona Ginuwine wa 44 mwaka 2012 ukilinganisha na bwana mdogo Drake na. 10.


 
sasa si ndo tunasaidiana great thinker..lil wayne wa 2013 ni how much?
 
Kama Lil weezy wa Tandale kwa akina Domo sawaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…