Dr. Ndimu
JF-Expert Member
- Oct 30, 2012
- 717
- 146
Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake.
Ni kwamba jamii imebadili fikra kuhusu muziki na wanamuziki ama nini.
Nakumbuka nikiwa kidato cha NNE tulimpendekeza Juma nature ama pfoffessor J kuwa mgeni rasmi wakati huo ndio walikuwa wanasumbua ktk burudani ila walimu walipokea pendekezo letu kwa namna isiyo njema ilifikia hatukuwa na mgeni rasmi kwakuwa tulimkataa diwani aliyealikwa na shule.