Kupitia akaunt yake ya instagram jaydee ameelezea alivyochukilia mwaliko wake wa kuwa mgeni rasmi katika sekondari ya unyanyembe inayomilikiwa na jeshi kuwa ni zaid ya heshima kwake.
Ni kwamba jamii imebadili fikra kuhusu muziki na wanamuziki ama nini.
Nakumbuka nikiwa kidato cha NNE tulimpendekeza Juma nature ama pfoffessor J kuwa mgeni rasmi wakati huo ndio walikuwa wanasumbua ktk burudani ila walimu walipokea pendekezo letu kwa namna isiyo njema ilifikia hatukuwa na mgeni rasmi kwakuwa tulimkataa diwani aliyealikwa na shule.
warumi unampendaga sana huyu dada.nlijua lazima uje.ila anastahili.hongera kwake na kwako meneja ake wa jfKama unaiheshimu kazi yako na wewe mwenyew unajiheshimu kwa nini usiheshimiwe? Go jide hawakuwezi miaka mia, super comando herself aka iron lady , mama wallet,mama somefood
warumi unampendaga sana huyu dada.nlijua lazima uje.ila anastahili.hongera kwake na kwako meneja ake wa jf
Kweli kabisa hujakosea, mi ndo manager wa jide apa JF, huyo mwanamke ni balaa binamu, hata sijui nimuelezee vipi, yuko poa sana. Jide ana mtandao mpana wa watu wa maana, we mpaka makampuni na mashirika mbali mbali makubwa wanamualika na kumpa ubalozi unadhani ni kitu kidogo?
Sijui ni mwaka jana sijui mwaka huu alialikwa kuwa mgeni rasmi Dakawa sec high school but hadi mwisho wa sherehe sikuona jide ameahidi kuwasaidia chochote wanadakawa wale pamoja na kueleza changamoto walizonazo hapo shuleni kupitia risala waliyoisoma wahitimu
Sijui ni mwaka jana sijui mwaka huu alialikwa kuwa mgeni rasmi Dakawa sec high school but hadi mwisho wa sherehe sikuona jide ameahidi kuwasaidia chochote wanadakawa wale pamoja na kueleza changamoto walizonazo hapo shuleni kupitia risala waliyoisoma wahitimu
Kama unaiheshimu kazi yako na wewe mwenyew unajiheshimu kwa nini usiheshimiwe? Go jide hawakuwezi miaka mia, super comando herself aka iron lady , mama wallet,mama somefood
anacondaaaaaaa
kwa kweli jide ni mfano wa kuigwa ktk tssnia ya mziki
kay our almighty protect her
Jide mtu na heshima zake
na pia mwenye sura ya kizee!