Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ndii bossJayrutty inahusika na nini? Imeanza lini?
Kama ni zao la awamu ya 6, semeni mapema tuendeleze mapambio.
Hehee.. mimi nikajua ni kampuni ya Africa Kusini au bara la ulaya kumbe wahaya tu. Simba karibuni kwenye story za ujenzi wa uwanjaMwanzilishi na Mwenyekiti wa Jayrutty Investment Company Limited, CPA Joseph Rwegasira