Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

Sawa kijana wa Taasisi, yani ufanye maisha yawe magumu kwa kunilazimisha nitumie VPN. Then urudi uniambie nijaze form ili kutumia hiyo vpn? Hivi huwa mnatuonaje. Unakatwa
 
Ushauri wako ni mzuri, sio kwamba watu hawataki ila matapeli wanaotumia simu na mitandao kuibia watu hawakamatwi pamoja na kutoa ripoti,hata simu zenye kusajiliwa Imei hakuna msaada wowote toka hao TCRA.
 
Uchaguzi huu kweli mgumu naona kutakuwa na giza kabisa, come october no internet, or internet mwendo wa konokono. Hata Putin naona hii shida anayo.
 
vpn kachana nayo haiwezekani
 
Upo kazini unatuhamasisha na posho mlima ushapewa kwa huu uhamasishaji.
Ila apo TCRA mna lunch Kali Kuna siku niliizamia nikapiga ubwabwa na samaki mkubwa sana😀
 
Asante kwa taarifa
 
Afisa wa TCRA akijaribu ku-manipute umma na vitisho yva hapa na pale
 
Et jaza form hahaha !!😅😅 GENTAMYCINE njoo ujaze form huku najua na kadgree kako ka sauti basi utajaza na ulivyo na akili tenge😂😂😂
 
Condom tu ingezuia Akili za kijinga oama hizi, yani watu wanatumia VPN kujificha wewe na tcra wako mnasema watoe taarifa zao, yani hii ni sawa na kujenga ngome kubwa ya mawe kujilinda na wavaamizi lakini uwakee ngazi majambazi zaku breach perimeter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…