Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

Sasa ukijaza hio fomu what is the point of using such in the first place...

Nadhani Kodi zetu zinatumika kwa mambo inconsequential yasiyo na tija kwa mwananchi...; Tatizo linalomsumbua mbangaizaji kitaa sasa hivi ni Bundle hazishikiki na ni hao hao TCRA ndio wamesababisha in short uwapo wao nadhani ni hasara kuliko faida....

 
Vitisho baridi, kilichoandikwa na kinachofanywa na TCRA ni vitu viwili tofauti, nazungumza haya kulingana na uzoefu nilionao na ninavyofahamu utendaji kazi wao.
 
Mnakata mti mlioukalia,
unajazaje fomu niliyopata link kwenye mtandao mlioufungia?
 
Iet dem fucv on porn ju condam de oiled ass I fuku on

Fvck on, I repeat Fvck dem all
 
🤣🤣🤣🤣 awapi km wanaweza waongee na watengenezaji wa vpn wazime server zao nalo haliwezekani 🤣🤣 oyaah sisi tutaendelea kutumia tu
 
The law is made to be broken, sheria kama hizi ni za kidikteta kutaka kutawala mawazo ya wengi
 
Hizo habari za kujaza fomu TCRA kutumia VPN zinavunja haki za kikatiba na kibinadamu za watu kuwa na faragha.

Wanasheria wa Tanzania wanafanya kazi gani mbona hawapingi ujinga huu mahakamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…