Jaza Form ya TCRA Usijepatwa na Shida, Serikali Inakufuatilia Vipi? (Watumiaji wa VPN Special Thread)

Waafrika hatukudai Uhuru sema tulikuwa hatutaki kuongozwa na ngozi nyeupe basi kwa sababu Sisi ni wabaguzi mno
Hiki jambo kwa Tanzania lina ukweli mkubwa sana.

Ukitaka kujua ukweli wake fuatilia historia ya sheria ya uraia mara baada ya uburu Tanganyika..

Nyerere alipata tabu sana kutetea watu wasio weusi kuweza juwa raia wa Tanganyika.
 
Sheria nyingine zimeekwa ili zivunjwe...watumiaji wa VPN ni wengi kuliko hata idadi ya Police let alone Enforcement Taskforce ya TCRA, sheria nyingine ni sawa na upuuzi ni sawa na anaetunga sheria ya kujisajili ili uvute hewa.... internet ni Basic needs na serikali ambayo ni mali ya wananchi kama ilivyoanishwa kwenye katiba haiwezi kuuzuia wananchi wake kupata Internet bali ni wapuuzi vichwa funza wachache kama OP wanaoleta mambo ya kijinga kama haya.
 
mKUU mm INAZINGUA, INANIPA ERROR ILA HAONYESHI NI ERRO GANI, NIMARIBU ZAIDI YA MAR NNE
 
Jaza hii takataka wewe na ukoo wenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…