Jb afumaniwa nyumba ya kulala wageni akiwa na dent wa chuo cha cbe dodoma

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
[h=3][/h]
[TABLE="class: tr-caption-container, align: center"]
[TR]
[TD="align: center"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"]Staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ akiwa na Irene Uwoya. Picha hii haihusiani na fumanizi.[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
LILE sakata la madai kwamba, staa mkubwa wa filamu za Bongo, Jacob Stephen ‘ JB’ amenaswa akiwa na mke wa mtu mjini Dodoma limeingia katika sura tofauti baada ya habari yenyewe kujaa utata.

Habari za awali zilidai kuwa, tukio hilo lilitokea wikiendi iliyopita katika hoteli moja (jina lipo) iliyopo mjini Dodoma ambapo JB alikutwa na mke huyo wa mtu aliyetambulika kwa jina moja la Sarah.

Kwa mujibu wa mwanaume aliyedai kuwa ni mume wa Sarah aitwaye Rama (jina moja), alifuatilia nyendo za mkewe huyo kwa saa kumi na mbili siku ya tukio na mawasiliano yake ambapo kwa muda mrefu alikuwa akiwasiliana na JB ambapo walipanga kukutana katika hoteli hiyo usiku.

Saa tatu usiku, Rama alifika ndani ya hoteli hiyo na kuingia kwenye chumba alichokuwa amelala JB na mwanamke huyo ambapo aligonga mlango kwa muda mrefu baadaye sana ndipo ukafunguliwa. Baada ya mlango kufunguliwa, kwa mujibu wa mume wa Sarah, JB alipokea kipigo cha haja kutoka kwa mwanaume huyo ambapo wahudumu wa hoteli na polisi waliokuwa wanafanya doria katika shoo ya Jahazi iliyokuwa ikiendelea kwenye ukumbi wa hoteli hiyo waliingilia kati kumuokoa JB na walipelekwa Kituo cha Polisi cha Area D ambapo maelezo yalichukuliwa na kutakiwa warudi kesho yake.

Mwanaume huyo alisema kuwa kesho yake waliporudi polisi walimshinikiza akubali yaishe ambapo walilazimishwa kuelewana.

Mume huyo akasema hakurudi nyumbani tangu siku hiyo mpaka juzi hata hivyo akasema:

“Mimi simuhitaji tena japokuwa ana mimba ya miezi minne na sina uhakika kama ni ya kwangu kwani tabia zake sizielewi bora niachane naye maana tulikuwa wachumba hatujafunga ndoa.”

HUYO ALIKUWA MUME, JB SASA
Mapaparazi wetu walifanikiwa kumuweka mtu kati JB ambapo baada ya kumuuliza kilichotokea, alisema:

“Mimi nifumaniwe! Hivi inawezekana kweli? Mna uthibitisho au ushahidi wowote? Yule msichana alikuwa klabu, akachukua namba yangu. Si yeye tu, mashabiki wengi waliniomba namba siku hiyo. “Ulikuwa usiku akarudi klabu, mimi nilikuwa hotelini, akanipigia na kusema anataka kuniona ana shida ya kisanii.

“Hata alipokuja sikuwa nimefunga mlango, akaingia na bado mlango ulikuwa wazi. Muda mfupi baadaye akaingia huyo bwana akiwa peke yake na kusema amenifumania.

“Hivi jamani, kweli unakwenda kumfumania mkeo upo peke yako? Kwanza hatari! Nilipoona anachachamaa kwa madai hayo, nilitoka nje, huyo anayesema mkewe naye akaondoka lakini alikuwa akisema mbele yake kwamba hajaolewa.

“Kule nje niliwaambia wenye hoteli, wakaamua kuita polisi maana alikuja kunifanyia fujo. Sijui nini kiliendelea, lakini ukweli ni kwamba sikufumaniwa.”

Sarah alipopatikana hewani juzi alisema hajafumaniwa na huyo anayedai ni mumewe ni mpenzi wake tu. Alidai kama kufumaniwa angekutwa akiwa hana nguo.
 
BIG UMBEYAAAA!!!!!!! JB Namfahamu sana tena sana! A very well behaved man, polite,and wise! Hawezi fanya hii kitu hata siku moja! Ni watu wanataka tu kumchafua huyu jamaa! Siku hizi watu wanatumia hii kama fimbo ya kuwaadhibu watu wengine! Ni yale yale ya KAPUYAAAA! No we can not accept this! Tukiacha hii trend ya matukio ya kusingiziana iendelee wanaume TUTAKWISHAAAA! NO WAY! POLE SANA GWIJI LA SANAA JB!!!!
 
Unamfahamu kuliko yeye anavyojifahamu??,kuna mtu alitegemea kama wentworth miller atakuwa shoga??,don't be ridiculous,binadamu ni kiumbe ambaye anaweza kufanya chochote mda wowote,wema sepetu anakwambia kuwa life is full of surprises expect unexpected,so kila kitu kinawezekana,don't judge a book by its cover
 
Mimi nilitegemea uta mquote mtu wa maana kudhihirisha point yako! Of all the people unamquote Wema! Nilitegemea utamquote prominent philosopher yeyote au great thinker kama Martin Luther King,Mandela, au kama unawapenda wasanii ungemtumia hata Ramsey au labda hata Shakespear! Hao ndo waliowahi kutoa kauli zinazoweza kutoholewa na wanazuoni ili kujustify point zao. Kwa kumtaja tu Wema na kumweka kama ndo philosopher wako, nakuona kma you are the fartest liar of all. Una act kama semi illiterate!!!! Wabaya sana watu wa dizaini yako hapa duniani! JB remains innocent!
 
How can I mention those great philosopher while we have ours in our country??anyone one can be philosopher, this is me bro,I like everything about me and what I do,sio lazima wote tufanye vitu sawa bro,hope u got me#MADE IN TANZANIA...
 
Back
Top Bottom