barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Naona ndo maana kaiweka ktk jukwaa la jokes.Code moral wa zamani wewe
Tutaijudge hiyo ngoma ikiingia sokoni huku bongo, je itasumbua redioni na kwenye sherehe? Tusubiri!
Ila ukweli ni kwamba SELFIE. Ilikamata na bado inasumbua, kama hiyo code moral itasumbua ni sababu tu SELFIE zama zake zinapita!
Btw, kwa nini unamlinganisha Le Grand Mopao na JB Mpiana?
Mopao ni mentor na Mpiana ataendelea kuwa protegée wa Koffi.
Mpiana yawezekana anasumbua huko Congo na Afrika na sehemu zingine, ila hapa bongo Koffi katawala sana, ndo ukweli huu, Mpiana hajatukamata kivile.
Kwangu mimi naona Koffi yuko creative sana, ni mbunifu ktk kuja na staili mpya za kucheza na kuimba kutokana na mabadiliko yalivyo na anaangalia vijana wanataka nini.
P. S: Naona ndo maana umeweka hii kwenye jukwaa la JOKES, kuna kitu.
Kizazi cha 3-4 ni watu wa umri gani?Kuna mambo mawili, kuteka soko la muziki na kuibua vipaji, Koffi yuko juu. Ila muimbaji mzuri na band inayowakonga wanaojua muziki wa kizazi cha 3-4 cha Muziki wa Soukous, Jean Bedel Mpiana na Le Groupe Wenge BCBG hana mpinzani!
La Boss Kirchhoff Tanzanien.... Zuanga Fotoooo! Tchaaaa
To Seka Mokeeee hahhh hhhha hhhhhhh haaaa
Buka kingooooooo zwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiim
Ekotiteeee brrruuuuu Ekotiteeeee!
Kizazi cha 3-4 ni watu wa umri gani?
Soukouss Stars nao walikuwa mafundi wa kuimba, kucheza na kugaragaza ala za muziki. Hawa walikuwa kama l'equipe nationale, yaani team ya taifa! Nilikuwa dogo enzi zao ila kwenye ubarikio tulikuwa tunacheza sana miziki yao na mida ya xmas.
Amenikumbusha ile vita yetu ya Kiba vs Chibu.....[emoji4] [emoji4] [emoji4] aisee watu mpo deep
Jamani jamani,ngoja nikae pembeni hapa nikisubiri jibu la popoma.Yani dada Jeni aka GENTAMYCINE anapenda ligi za kipuuzi!
Nimependa hizo ng'are ng'areHuku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
YAAN UMEONA MPKA KOFFI OLOMIDE KAMPIGIA SIMU KWEL UKO DEEP NA TUNASHUKURU TUMEJUA UNAISH CONGO...
Kizazi cha 3-4 ni watu wa umri gani?
Soukouss Stars nao walikuwa mafundi wa kuimba, kucheza na kugaragaza ala za muziki. Hawa walikuwa kama l'equipe nationale, yaani team ya taifa! Nilikuwa dogo enzi zao ila kwenye ubarikio tulikuwa tunacheza sana miziki yao na mida ya xmas.
Huku Nikitoa ONYO Mapema Tu Kwa Wale Mliokuwa Wapenzi Wa KOFFI OLOMIDE Mlipokuwa MKIUSIFIA Wimbo Wa " SELFIE " Wenye Kibwagizo Cha " Ekotitee " Kuwa Siku Ambayo Bingwa Wa Muziki Wa DRC Nzima JEAN BEDELE TSHITUKA MPIANA Akiibuka Mtatafuta Mahala Mjifiche Hamkunielewa.
Ni Muda Mfupi Tu Uliopita JB Mpiana Na Kundi Lake Zima La Wenge Musica BCBG Ametoka Kuachia ALBUM Yenye Nyimbo Mmoja Mkali Na Mtamu Sana Uitwao CODE MORAL. Inasemekana Baada Ya JB Mpiana Kupakuwa Hiyo ALBUM Koffi Olomide Aliposikilizishwa Tu AKAMPIGIA Salute JB MPIANA.
Katika Hiyo ALBUM Marepa MASHUHURI Namba Moja GENTAMYCINE ANTIBIOTIQUE, Namba Mbili CELLULAIRE, Namba Tatu PAJO Na Namba Nne BIN LADEN Wamefanya VITU VIKUBWA Ambavyo Kwa Hakika VIMEMFUNIKA VILIVYO Koffi Olomide Hadi Sasa Anaomba " PO " Kwa JB Mpiana.
Na Katika Kuinogesha Hiyo ALBUM JB Mpiana Safari Hii Ameamua Kuwashirikisha Wapiga Gitaa La Solo Wake MAARUFU Chipukizi Aitwae Schevchenko Patou Solo Na Burkina Faso Mboka Liya Huku Safari Hii Katika Gitaa La Rhythm Akimrudisha Jembe Liitwalo ALBA ALCOMPA NYERO Na Kumpumzisha Zygal Wakati Katika Drums Akimuacha Yule Yule Bingwa Wa KUKAANGA Chips DRC Nzima Seguin Mignon Maniata Na Katika Gitaa La KUBAHASHIA au Bass Guitar Akiachwa Yule Yule Mkongwe Sunda Bass Le Pro Huku Utamu Wote Wa KINANDA Safari Hii Akiachiwa Geremi Kitubu Asimamie Show Nzima.
Nadhani Sasa Wale MASHABIKI Wa KOFFI OLOMODE Akina Nifah, Mussolin5, UncleBen, miss chagga Na Wengineo Sasa MTAIKUBALI Wenge Musica BCBG Yake JB Mpiana Na Siku Nyingine Mwambieni Koffi Olomide Wenu Ashindane Na Wote Ila Siyo WENGE MUSICA BCBG. Itafuteni Hiyo Album MSUUZIKE. Hakika JB Mpiana HAKUKOSEA Alipoiita Bendi Yake Kuwa Ni " Le Equipe Nationale " Yaani TIMU YA TAIFA Kwani Hiyo Bendi IMESHEHENI MAFUNDI WATUPU Na WALIOTUKUKA.
Wana WENGE MUSICA BCBG Wenzangu FURAHINI Sasa Kwani Koffi Olomide Kasalimu AMRI Kwa JB MPIANA.
Yondo alikua balaa kitu Mbuta mutu balaa.acha mbuta nanga.Kitu cha mama rhoda. . . hapa yondo beby, pale shimita, kati unamkuta lucian bokilo, fundi lokasa ya mbogo na wengine. . . ilikuwa hatari