JB simtofautishi na kina Aunt Ezekieli-Ney wa Mitego

JB simtofautishi na kina Aunt Ezekieli-Ney wa Mitego

ma2mbo

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Posts
697
Reaction score
326
Amesema ayo kutokana na JB kuambatana na kina Aunt kwenye majukwaa ya fiesta na kutoa burudani ya kukata viuno.
 
kwani ye ney wa mitego anakipi cha maana, watoto bwana kweli hawajui maisha, unamcheka mwenzako wakati we mwenyewe chongo..
 
Hilo ni BO...BO.. B O..BOO...O..N..G..E la dongo!
 
kwani ye ney wa mitego anakipi cha maana, watoto bwana kweli hawajui maisha, unamcheka mwenzako wakati we mwenyewe chongo..

vp mkuu,unadhani anachofanya JB kama baba wa familia ni sawa??
 
JB kukata viuno kwenye majukwaa kwa kulipwa shilingi elfu 50 ni suala la kujidhalilisha sana.
 
Ukweli kwa mtu kama JB atakuamekosea kufanya hivyo. Ni bora hao wengine wamezoeleka. Jamani mwenye picha atuwekee tumuone JB.
 
Ukweli kwa mtu kama JB atakuamekosea kufanya hivyo. Ni bora hao wengine wamezoeleka. Jamani mwenye picha atuwekee tumuone JB.

poa mkuu.

FKB_7758.JPG h.jpg
 
hivi ney kazi yake ni nini vile?
pia JB mkate wake si huwa anaupata kwa kuuza sura au kama ndio mi sioni tatizo hapa maana kama ni kujidhalilisha utataka kuniambia ache uigizaji?
binafsi na hisi hapo pia anaigiza ili aupate mkate wake wa kila siku.
NI MAONI NA MTAZAMO BINAFSI WA KINYA WA JF
 
Dah!.kweli nimeamin kua njaa mbaya sn.Ila ukiendekez njaa ufiki mbali kwny game.Nawahesabia sekunde tu hawa watavuna wanachopata.
 
Dah!.kweli nimeamin kua njaa mbaya sn.Ila ukiendekez njaa ufiki mbali kwny game.Nawahesabia sekunde tu hawa watavuna wanachopanda.
 
kwani ye ney wa mitego anakipi cha maana, watoto bwana kweli hawajui maisha, unamcheka mwenzako wakati we mwenyewe chongo..

Umemake pointi ya msingi sana mkuu.Kwani hawa si ndo wale wanadada waliolipotiwa na chombo kimoja cha habari kua wanagombania mabwana?..Na huyu m1 wao c ndo Nisha demu wa Ney?..Naombeni muongozo wenu tafadhari.
 
Attachments

  • nisha000.jpg
    nisha000.jpg
    38.7 KB · Views: 110
ney naye anapenda sana sifa, nilikuwa namkubari sana kama anasema ukweli kumbe anao waponda kuwa ni makahaba alikuwa hana uwezo wa kuwapata kapata kizari cha kumpata low class kati ya hao makahaba anayeitwa Nisha naona kamchukua.
Sasa nalobaki najiuliza iweje aliowaita makahaba anatoka na mmoja wao.
Na JB kwa umri na alivyo hastahili kufanya ujinga huo anajishusha.
 
Thamani ya wasanii wa bongo huwa haieleweke kabisa actor mkubwa kama JB kwenda kukata viuno fiesta kweli ni msanii lakini umri wake pamoja na status yake haviendani kabisa na show kama ya fiesta.
 
Thamani ya wasanii wa bongo huwa haieleweke kabisa actor mkubwa kama JB kwenda kukata viuno fiesta kweli ni msanii lakini umri wake pamoja na status yake haviendani kabisa na show kama ya fiesta.
Hapa ndipo unapoona tofauti ya MAREHEMU STEVEN CHARLES KANUMBA na hawa wamwaga viuno,inasikitisha sana
 
Back
Top Bottom