JB wa Bongo movie: Napata pesa nyingi kuliko mbunge, filamu zinalipa kuliko fani yoyote

JB wa Bongo movie: Napata pesa nyingi kuliko mbunge, filamu zinalipa kuliko fani yoyote

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Msanii wa Bongo movie Jacob Steven maarufu kama JB amesema anapata pesa nyingi kuliko hata za mbunge na kuwa fani ya filamu inalipa kuliko fani yoyote ile na hana mpango wa kutoka kwenye filamu kwenda kwenye siasa ili kugombea ubunge
Akizungumzia wasanii ambao wanahama kutoka kwenye kuigiza na kufanya mambo mengine amedai hao wanakuwa hawafanyi vizuri, lakini kwa msanii anayefanya vizuri hawezi kuhama
 
  • Thanks
Reactions: THT
Anajifariji huyo mamtoni sawa lakini kibongobongo hakuna mtu moja ananunua dvd wanaangalia mtaa mzima. Kuna mtu alikuwa kamishna wa madini akaacha kenda penye ubunge maprofesa wangapi wameacha fani zao wameenda huko?
 
Msanii wa Bongo movie Jacob Steven maarufu kama JB amesema anapata pesa nyingi kuliko hata za mbunge na kuwa fani ya filamu inalipa kuliko fani yoyote ile na hana mpango wa kutoka kwenye filamu kwenda kwenye siasa ili kugombea ubunge
Akizungumzia wasanii ambao wanahama kutoka kwenye kuigiza na kufanya mambo mengine amedai hao wanakuwa hawafanyi vizuri, lakini kwa msanii anayefanya vizuri hawezi kuhama

kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi
 
Anafananisha ubunge Na zile posho za kampeni amuulize wasira mwanachama mwenzake Wa ccm Wa siku nyingi anajua thamani ya ubunge kaukatia rufaa nyingi kuliko awamu alizogombea ubunge aoni maprofesa wakurugenzi watu wenye hela zao wanagombania ubunge kumbe bongo movie wote sawa nilijua akina wema yaani yeye kajua thamani ya ubunge ni pesa tu, akina mkono, chenge, tibaijuka, muhongo, wasingekuwa wabunge wangefanya kazi zao
 
Kama inalipa mbona kila siku hakauki pale Addidas in Dar pembeni mwa Hekalu la Baba Ridh Morocco kutumwa tumwa na vitoto vidogo kina Miraji na Khalfan kuwatafutia Chuchuz
bora nyenye makaz yenu dar mnawajua vizur watu wenu
 
Back
Top Bottom