chinchilla coat
JF-Expert Member
- May 16, 2016
- 5,107
- 10,969
kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasiMsanii wa Bongo movie Jacob Steven maarufu kama JB amesema anapata pesa nyingi kuliko hata za mbunge na kuwa fani ya filamu inalipa kuliko fani yoyote ile na hana mpango wa kutoka kwenye filamu kwenda kwenye siasa ili kugombea ubunge
Akizungumzia wasanii ambao wanahama kutoka kwenye kuigiza na kufanya mambo mengine amedai hao wanakuwa hawafanyi vizuri, lakini kwa msanii anayefanya vizuri hawezi kuhama
Mkuu Ahsante. Mi napigia mstari tu hapo.kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi
#hahahaaa bora umeniwakilishangoja waumwe sasa!
utakimbia media matangàzo ya misaada!
sa sijui pesa zao za majini!
unamaanisha nani hapo?kweli ukubwa wa pua siyo wingi wa kamasi
bora nyenye makaz yenu dar mnawajua vizur watu wenuKama inalipa mbona kila siku hakauki pale Addidas in Dar pembeni mwa Hekalu la Baba Ridh Morocco kutumwa tumwa na vitoto vidogo kina Miraji na Khalfan kuwatafutia Chuchuz