JB: Wasomi wa Tanzania ni vilaza, afadhali ya sisi wasanii tusiosoma

Huyo mkenya watamfukuza tu.
Hivi ule muswada wa ajira umeshawekewa saini?
 
Huo ndo ukweli mchungu.....ingawa ubunifu wa mtu si lazima uletwe na kiwango chake cha elimu.
Ubunifu/Creativity Mara nyingine ni vitu vya kuzaliwa navyo na pia huchagizwa na aina ya malezi au life time experiences
 
Akumbuke hata yeye kupata hivyo vijisenti ni kwa sababu ya wingi wa vilaza bongo, otherwise wenye elimu gani wangeangalia hayo mauzauza yao ya bonge muvi ?
Hahaha mkuu hii ni top comment kiukweli
 
Elimu bongo ipo,sema unaporuhusu competition ktk kumpata MTU wa kushika nafasi fulani lazima kilichobora kionekane,na so jambo la kukataa kwamba Kenya wanatuzidi kuelimu..so kilichotokea ndo kilichotegemewa,name JB hatakiwi kujisupport kwa kutohudhuria Dara San..?!
 
Asilaumu wasomi alaumu serikali yake. ...serikali haijali mifumo ya elimu tatizo ndio linapoanzia
 
af yy ndo wa kwanza kuishabikia ccm.......kilaza kabisaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…