JBL 1300X Wireless Sound Bar Watts 1070

JBL 1300X Wireless Sound Bar Watts 1070

The Evil Genius

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
6,017
Reaction score
19,506
Wakuu habari za boxing day.

Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.

Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya sound bar taja hapo juu kutoka JBL.

Kwa sasa natumia JBL 9.1 ila nataka mwakani mapema ni upgrade kwenda 1300X.

Lakini pia kama kuna sound bar nzuri ya kuanzia watts 1000 na kuendelea nakaribisha ushauri na mapendekezo.

Natanguliza shukran.
JBL-Bar-1300-Soundbar-India.jpg
 
Beba huyo Mwali..
Mimi nimechukua Sony HT-S700RF 1000w...lina Mziki mnene japo sijavuka sauti 30. 😛 😛 😛 😛
 
Kabla ya kununua kitu review specification za kitu husika, hiyo sound bar ina 110 watts rms x2 (satelite speaker/sorround) na subwoofer ya 300watts rms. @ 33hz, hiyo uliyonayo ya 9.1 ni 60 watts x2 sat na sub ya 300wts @ 33 hz Kwa hiyo hapo mzungu amechezea na akili za watu tu hasa anajua watu wengi ni laymans kwenye maswala ya mziki. Mkito wa hiyo bass hauwezi kusimama kwa kwa subwoofer ya 200watts rms @20 hz hata kidogo, hiyo jbl bass nyepesi huwezi kupata deep bass. Halafu hiyo 1170 ni peak power/output power( music power), sio continuous power/rated power
 
Kwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.
 
Wakuu habari za boxing day.

Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.

Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya sound bar taja hapo juu kutoka JBL.

Kwa sasa natumia JBL 9.1 ila nataka mwakani mapema ni upgrade kwenda 1300X.

Lakini pia kama kuna sound bar nzuri ya kuanzia watts 1000 na kuendelea nakaribisha ushauri na mapendekezo.

Natanguliza shukran.View attachment 2853885
Hela SI ipo tafuta JBL part box watt 350
 
Back
Top Bottom