The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 6,017
- 19,506
Kwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.Kabla ya kununua kitu review specification za kitu husika, hiyo sound bar ina 110 watts rms x2 (satelite speaker/sorround) na subwoofer ya 300watts rms. @ 33hz, hiyo uliyonayo ya 9.1 ni 60 watts x2 sat na sub ya 300wts @ 33 hz Kwa hiyo hapo mzungu amechezea na akili za watu tu hasa anajua watu wengi ni laymans kwenye maswala ya mziki. Mkito wa hiyo bass hauwezi kusimama kwa kwa subwoofer ya 200watts rms @20 hz hata kidogo, hiyo jbl bass nyepesi huwezi kupata deep bass. Halafu hiyo 1170 ni peak power/output power( music power), sio continuous power/rated power
Kwa hizo specs tofauti pekee ipo kwenye design na ongezeko la sauti nyembaba kutokana na ongezeko la sorround speakers, bass watts ziko the same, herz ziko the sameKwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.
Hiyo ya 200watts inaitwaje? au ni model gani mkuu?Kwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.
Hela SI ipo tafuta JBL part box watt 350Wakuu habari za boxing day.
Mojawapo ya mipango yangu ya 2024 ni kubadilisha na kupendezesha kisebule changu na vifaa vya kisasa vya kielektroniki.
Sasa nilikua naomba ushauri ama review ya sound bar taja hapo juu kutoka JBL.
Kwa sasa natumia JBL 9.1 ila nataka mwakani mapema ni upgrade kwenda 1300X.
Lakini pia kama kuna sound bar nzuri ya kuanzia watts 1000 na kuendelea nakaribisha ushauri na mapendekezo.
Natanguliza shukran.View attachment 2853885
JBL partbox 310 watt 240 Huu mziki ni balaa inakupa Kila sound achana na sound bar hizoKwa iyo mkuu ni bora abaki na ya zamani? iyo yenye 200watts rms inaitwaje mkuu! naomba link.
Ndio umehamia humo kwa sasaJBL partbox 310 watt 240 Huu mziki ni balaa inakupa Kila sound achana na sound bar hizo
unaonaje ukilinganisha na zamanNdio umehamia humo kwa sasa
Najipanga niivuteNdio umehamia humo kwa sasa
Najipanga niivu