JBL party box mwamba wa muziki mnene

JBL party box mwamba wa muziki mnene

Abubakari Mussa

Senior Member
Joined
Mar 26, 2020
Posts
129
Reaction score
188
Mdau , leo nakutupia hii apa
Wewe unapenda mziki mkubwa?
Chukua hili dudeee
Hutojutiaaa
Swipe kulia kuona video 👉🏽 JBL boom box 2 - 1,200,000/=
JBL party box 310 - 1,650,000/=
JBL party box 710 - 2,200,000/=

Tupigie au whasapp - 0692690033

Tupo kariakoo mtaa wa aggrey

Karibu sana maongezi yapo
Kuuliza ni bure
59d80e96-e0fa-4c3b-acab-c028eb78a8a7.jpeg

 
Na je mna BT SPEAKER AMBAZO NI USED?
 
Kuna vile vidogo unaweza kuning'iniza hata kwenye suruali bei gani? Ingawa copy ni nyingi sana hapa town.
 
Jbl ni brand very expensive ingekuwa fidek bei ingekuwa cheap hata hivyo nitakuchek nina jambo langu nahitaji mziki mnene.
 
Back
Top Bottom