INAUZWA JBL Wireless, Dust and Water Resistant Speaker for Sale

JBL ina watts ngapi? Kwa udogo huu ina sound gani kufikia bei ya 530k?
JBL ni brand kubwa sana katika utengenezaji was speaker Bora kabisa. Hivyo bei take ni sawa kabisa kama ni original.
JBL imeinunua Harman Kardon ambayo nayo ni Bora sana kwenye speaker zake.
 
Mkuu nataka nimnunulie bibi alikua anatumia za mchina zinakufa kila siku, swali langu zina option ya radio fm manake nje ya kuchomeka flash anapenda pia kusikiliza radio.
Kama ni Bibi usinunue JBL ni gharama kubwa kwa Bibi ambaye pengine ye anataka kusikiliza redio tu. Halafu wajukuu wakija wataibeba wasepe nayo.
 
Nauza External Hard Disk Pia

Brand New Sealed
Toshiba External Hard Disk
Size: 1000GB/1TB
Price: Tsh.100,000/= Fixed
CALL 0689341445
 
Bei kwa JBL Charge 5 ni Tsh.500,000/= sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…