Mmasihiya JF-Expert Member Joined Dec 2, 2011 Posts 389 Reaction score 171 Jan 29, 2012 #21 Pukudu said: Njoo Viavia au Masai camp chuga uone anavyopagawisha tena raia wa kigeni ndo Huwa wengi nyie ndo wale mnaipenda Hip Hop afu HipHop haiwapendi Click to expand... Aje kupiga show mikoani ajipime kama sio underground, ushasema raia wa kigeni ndo huwa wengi na bila shaka unamaanisha wazungu zaidi na wazungu kwa asilmia kubwa sio watu wa hip hop...JCB BADO UNDERGROUND SEMA TU NI UNDERGROUND MKONGWE
Pukudu said: Njoo Viavia au Masai camp chuga uone anavyopagawisha tena raia wa kigeni ndo Huwa wengi nyie ndo wale mnaipenda Hip Hop afu HipHop haiwapendi Click to expand... Aje kupiga show mikoani ajipime kama sio underground, ushasema raia wa kigeni ndo huwa wengi na bila shaka unamaanisha wazungu zaidi na wazungu kwa asilmia kubwa sio watu wa hip hop...JCB BADO UNDERGROUND SEMA TU NI UNDERGROUND MKONGWE