JCB: Dogo Janja kwa kumuoa Irene Uwoya ameonesha yeye sio mwanaume wa Dar

JCB: Dogo Janja kwa kumuoa Irene Uwoya ameonesha yeye sio mwanaume wa Dar

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Kama ulikuwa mfatiliaji mzuri wa stori ya Janjaro kujifanya mwanamke kwenye video yake basi utakumbuka kuwa watu wengi walimpiga vita kufikia hatua ya kutakiwa asifike Arusha na ndipo Enewz ilipokutana na JCB mkongwe wa Hip Hop Arusha kama ni kweli wamemkataza Janja asikanyage Arusha, Lakini pia JCB amesema Janja ameinyanyua Arusha na kuonesha yeye si Mwanaume wa Dar kwakumuoa Uwoya.


 
Jcb tunataka nyimbo nyingine hata ukisikia paah part 3

hizi taarabu waachie jahazi au mashauzi
 
Hivi ile ni ndoa au mfano wa ndoa!? Uwoya asije wapa shida ndugu zake mbelen kwenye masuala ya dini
 
Dar hakuna wanaume, wengi ni vigarasa tu na wabwia unga, washikishwaji ukuta, wake za watu kitaa....nilikuwa huko juzi....nimeona uozo mwingi tu. Diamond (mwanamme asiyejitambua) anaonekana mjanja wakati ni Muha tu wa Kigoma.
 
Back
Top Bottom