Kama ulikuwa mfatiliaji mzuri wa stori ya Janjaro kujifanya mwanamke kwenye video yake basi utakumbuka kuwa watu wengi walimpiga vita kufikia hatua ya kutakiwa asifike Arusha na ndipo Enewz ilipokutana na JCB mkongwe wa Hip Hop Arusha kama ni kweli wamemkataza Janja asikanyage Arusha, Lakini pia JCB amesema Janja ameinyanyua Arusha na kuonesha yeye si Mwanaume wa Dar kwakumuoa Uwoya.
Dar hakuna wanaume, wengi ni vigarasa tu na wabwia unga, washikishwaji ukuta, wake za watu kitaa....nilikuwa huko juzi....nimeona uozo mwingi tu. Diamond (mwanamme asiyejitambua) anaonekana mjanja wakati ni Muha tu wa Kigoma.