Leonard Robert
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 11,125
- 7,373
Iam humbled...By A'DII !
Good...gooder...goodest! Naona JF sasa inazidi kufahamika...baada ya mwaka itaishinda facebook!!
mKUU,wewe si huko Arusha,tujuze tafadhari..alafu hii imekaaje ya kutajataja jamiforum.
mKUU,
Naweza kuwa niko Arusha , lakini Umri mkuu!...Umri hauruhusu kuingia matamasha ya hivo...Mi na rafiki yangu Ngongo tuambie wapi wako Serengeti Sound, ili tukasikie "Embe dODO LIMELALA mUCHANGANI"
Who is JCB?
Who is JCB?[/QUOTE]
Njoo hapa Arusha maeneo ya Kijenge utapata habari zake, kwenye ile studio yao ni bangi mtindo mmoja!
nilisikia anasema eti" niliambiwa na mshikaji wangu eti nasemwa jamiiforums. akaniambia nifungue jamiiforums halafu sijui niingie sijui celebrities sijui nini halafu sijui niclick sijui wapi huo ni uzushi mtupu" mwenyewe analikuwa anasema. Mia
Ndio nani huyo JCB ebu tuweekeni picha yake tumuone..
Who is JCB?[/QUOTE]
Njoo hapa Arusha maeneo ya Kijenge utapata habari zake, kwenye ile studio yao ni bangi mtindo mmoja!
huyu jamaa ni legend wa kitu ya arusha ariiifu...