johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
... na Bashiru ndo apewe jukumu la kuhakikisha fomu inatoka moja tu!Ndo ivo fomu ni 1 tu ya Chief Hangaya
Uwepo wa kifo hautuzuii binadamu kuwaza au kutenda. Vinginevyo hata shule asingesoma angekaa anakisubiria kifo.Hakuna aijuae kesho
Mwenda zake aliwahi kusema “Zanzibar msinichagulie mtu nitakayekua namuamkia shkamoo”, “na hata 2025 nikiondoka msiniletee anaenizidi umri”.
Leo hii yuko wapi
Unaogopa Nini wakati huyo mama yako anaupiga mwingi?Ninavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.
Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.
Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.
Mungu ni mwema wakati wote!
sukuma gang hawatakubali labda wapewe chai ndefuNinavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.
Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.
Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.
Mungu ni mwema wakati wote!
Inabidi wakubali tu bwashee ndio utaratibu tuliojiwekea!sukuma gang hawatakubali labda wapewe chai ndefu
Chama Cha Mapinduzi kamwe hakiwezi kuwa Cha kidemokrasiaNinavyofahamu kwa utamaduni wa CCM Rais Samia muhula wake utakamilika 2030.
Sasa kufuatia uzushi wa kile " kigazeti" ni kama kuna watu ndani ya CCM wana mipango miovu ya kutaka kugombea nje ya utaratibu wa chama.
Nakazia tu 2025 itoke fomu moja tu kama ilivyokuwa 2020.
Mungu ni mwema wakati wote!
kumekuchaa😂😂😂Ni yeye 2025