Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Ukija kwenye ngazi ya familia 50/50 haifai kwa sababu huwa kuna muingiliano wa majukumu baina ya mwanaume na Mwanamke.
Kuna haki za mwanaume na vilevile kuna haki za Mwanamke.Mwanaume apate haki zake na vilevile mwanamke apate haki zake.
Mwanamke yeyote ambaye anaunga mkono 50/50 utagundua familia ambayo anatokea kuna tatizo
1.Huenda hamjui baba yake mzazi labda kwa sababu ya talaka,kifo, kutengana kwa wazazi, kutekelezwa akiwa mdogo sana
2.Hana maelewano na baba yake- baba yake ni dikteta,alikuwa anampiga, kumfokea, kumtukana, kumkashifu, kumkaripia, kumgombeza, kumdhalilisha,kumpiga mama yake mzazi, kumfukuza nyumbani mama yake mzazi usiku wa manane, kumtelekeza mama yake mzazi mara kwa mara bila chakula wala huduma zozote,kumnyima mama yake mzazi pesa za matibabu kwa makusudi, fumanizi za mara kwa mara.
3.Baba dhaifu sana (weak father) - nyumbani kwao mama ni mkali kupitiliza,ni mbabe, dikteta,yupo na hasira kupitiliza na misimamo mikali sana, huku baba yake mzazi akiwa ni marioo,au kibenteni,au anahudumia familia lakini hana kauli wala mamlaka yoyote ndani ya familia,kwa maana baba yake mzazi ni bwana ndiyo,hana madhara yoyote wala hana heshima yoyote kwa watu wengine.
4.Amepitia manyanyaso ikiwemo,kupigwa, kunyanyaswa, kunyang'anywa mali, kufukuzwa nyumbani usiku wa manane, fumanizi za mara kwa mara,kulazwa nje, kuingiliwa kinguvu, kunyimwa unyumba kwa muda mrefu sana, kutelekezwa na ujauzito au watoto.
hivyo basi chuki , wivu na kinyongo chake ndiyo anataka kumuaminisha kila mtu kwamba wanaume ni wabakaji,wanyanyasaji,walawiti, wahalifu,wanaume ni watu wa mfumo dume.
zingatia kwamba 50/50 husababisha familia kusambaratika, migogoro ya kimapenzi, single mother,mashoga kuongezeka na wasagaji kuongezeka kwenye jamii.