Je...AC,Motor,au Friji havifanyi kazi vizuri sabababu ya unaishi eneo lenye umeme mdogo?(LOW VOLTAGE)Suluisho lipo.

Transistor

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,061
Reaction score
1,637
AC,Motor,au Friji havifanyi kazi vizuri sabababu ya unaishi eneo lenye umeme mdogo?(LOW VOLTAGE)Suluisho lipo.
mes1.JPG

Je unafahamu umeme mdogo ni hatari kwa vifaa vyako vyenye aina ya motor,sababu husababisha kuongezeka kwa mkondo wa umeme(Current),ili kulipia kiwango kidogo cha msukumo wa umeme(Voltage),kilicho pungua.
et2.jpg

Hivyo hupelekea motor,Ac au Compressor ya friji kuungua mara kwa mara,na pia kuto pata huduma ya kifaa kwa ufanisi wa kifaa husika.

Karibu tukufungie vifaa vya kuondoa tatizo hilo

0782971984
 
Attachments

  • et.jpg
    et.jpg
    289.5 KB · Views: 5
Unapatikana wap mkuu.. na kufunga hicho kifaa sh. ngap??
 
Napatikana Dar boss na hata kama upo mkoani tunakuja kujengea mashine huko huko

Gharama yakutengzewa kifaa itategemeana na kiasi cha Horse Power ya motor au compressor yako

MFANO
Horse power 1.5 itatumia Booster ya KVA 3.5 Ambayo kwa sasa ni Tsh 450,000

Tofauti na Stabilizer kuunda kifaa hiki tunahitaji kupima kwanza range ya kupanda na kushuka kwa umeme(kujua flactuation gap)....tukipata hiyo interval ndo unaundiwa mashine yako.

Kifaa hili ni maalumu kudeal na low voltage hasa kusaidia motor na compressor zifanye kazi kwa ufasaha.
 
Napatikana Dar boss na hata kama upo mkoani tunakuja kujengea mashine huko huko

Gharama yakutengzewa kifaa itategemeana na kiasi cha Horse Power ya motor au compressor yako

Tofauti na Stabilizer kuunda kifaa hiki tunahitaji kupima kwanza range ya kupanda na kushuka kwa umeme(kujua flactuation gap)....tukipata hiyo interval ndo unaundiwa mashine yako.

Kifaa hili ni maalumu kudeal na low voltage hasa kusaidia motor na compressor zifanye kazi kwa ufasaha.
Kwamaelezo haya ni sahihi kusema hii solution ni expensive 🫰... Ila ni sawa vizuri vina gharama
 
Yes ni gharama kama utafunga tu kwa matumizi yasio ya kibiashara.

Walio wengi wanao funga ni kwasababu kuna biashara flani wanatumia motor au compressor,So Low voltage inapowasumbua biashara haiendi ndo wanakua hawana namna.

Na gharama inasababishwa kutokana na nature yenyewe ya umeme kukiwa na low voltage.Kawaida Current huwa juu sana.

Hasa Voltage inaposhuka toka 150 kwenda chini,inahitaji mfumo wenye nguvu...

Ndo maana kwa stabilizer ya kawaida ikifika volt 140v ikianza kushuka inajizima..

Ila booster zinapambana hadi 90v
 
Yes ni gharama kama utafunga tu kwa matumizi yasio ya kibiashara.

Walio wengi wanao funga ni kwasababu kuna biashara flani wanatumia motor au compressor,So Low voltage inapowasumbua biashara haiendi ndo wanakua hawana namna.
Sawa mkuu...nenda na kanda ya ziwa specifically Mwanza ...kule kuna watu wamefunga industrial cold rooms kwaajili ya barafu za samaki especially za export.
 
Shukrani sana mkuu kwa wazo.

Yes hii ni nzuri sana kwa Cold rooms,Mashine za kugandisha barafu,Mafriji Etc.
 
Good to be true! Mashine yangu imegoma kufanya kazi due to low voltage
 
Back
Top Bottom