Transistor
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,061
- 1,637
Napatikana Dar boss na hata kama upo mkoani tunakuja kujengea mashine huko hukoUnapatikana wap mkuu.. na kufunga hicho kifaa sh. ngap??
Kwamaelezo haya ni sahihi kusema hii solution ni expensive 🫰... Ila ni sawa vizuri vina gharamaNapatikana Dar boss na hata kama upo mkoani tunakuja kujengea mashine huko huko
Gharama yakutengzewa kifaa itategemeana na kiasi cha Horse Power ya motor au compressor yako
Tofauti na Stabilizer kuunda kifaa hiki tunahitaji kupima kwanza range ya kupanda na kushuka kwa umeme(kujua flactuation gap)....tukipata hiyo interval ndo unaundiwa mashine yako.
Kifaa hili ni maalumu kudeal na low voltage hasa kusaidia motor na compressor zifanye kazi kwa ufasaha.
Yes ni gharama kama utafunga tu kwa matumizi yasio ya kibiashara.Kwamaelezo haya ni sahihi kusema hii solution ni expensive 🫰... Ila ni sawa vizuri vina gharama
Sawa mkuu...nenda na kanda ya ziwa specifically Mwanza ...kule kuna watu wamefunga industrial cold rooms kwaajili ya barafu za samaki especially za export.Yes ni gharama kama utafunga tu kwa matumizi yasio ya kibiashara.
Walio wengi wanao funga ni kwasababu kuna biashara flani wanatumia motor au compressor,So Low voltage inapowasumbua biashara haiendi ndo wanakua hawana namna.
Shukrani sana mkuu kwa wazo.Sawa mkuu...nenda na kanda ya ziwa specifically Mwanza ...kule kuna watu wamefunga industrial cold rooms kwaajili ya barafu za samaki especially za export.