Kuna mtoto kaniuliza kama kuna mtu hata mmoja kati ya wabunge wateule na madiwani wateule aliye na dhamira inayomsuta na kuamua kutokula kiapo!!Je ACT Wazalendo na Chauma wamelinda kura? Walisema watalinda kura sisi tulisema hapa huwezi kwenda kulinda kura ambazo hata hazitahesabiwa.
Sasa tujiulize ukiacha kufuata posho walizopewa walienda kwenye uchaguzi kufanya nini zaidi ya kuuwa vijana wetu tu na kuchochea hasira za wananchi?.
Wangeungana na CHADEMA mabadiliko yafanyike badala yake wameweka matumbo mbele na nchi nyuma na kuungana na mafisadi sasa tuna aibu ya nchi ambaye ni Raisi fake.
Vijana wamekufa na wenyewe wamerudi mitaani na aibu
Chaumma Moja, ACT wazalendo sitaHivi wamepata majimbo mangapi? Maana nimesikia NTOBI kawa mbunge.
Impact ya cdm kutoshiriki uchaguzi huu imekuwa kubwa kuliko hata vyama vyote vilivyoshiriki uchaguzi chini ya maagizo ya ccm.Je chadema wameweza kumtoa Samia Madarakani? Wameweza kuzuia Uchaguzi?
Ndio maana yupo kimya anasikilizia teuzi kwanza.Hapo Zitto na Mwalimu wanasikilizia nafasi 10 za uteuzi wakizikosa Zitto ndo ataanza kukosoa
Atasubiri na ukuu wa mkoa pia..Hapo Zitto na Mwalimu wanasikilizia nafasi 10 za uteuzi wakizikosa Zitto ndo ataanza kukosoa
Uchaguzi wamezuia ndio..Wewe unaona kuna kura halali zimepigwa na kuhesabiwa?Je chadema wameweza kumtoa Samia Madarakani? Wameweza kuzuia Uchaguzi?
Kwani uchaguzi ulifanyika? Au hili igizo la uchaguzi na Samia kujitangaza kupata kura m32 ndiyo unaita uchaguzi?Je chadema wameweza kumtoa Samia Madarakani? Wameweza kuzuia Uchaguzi?
Uchaguzi wamezuia ndio..Wewe unaona kuna kura halali zimepigwa na kuhesabiwa?
Kwani uchaguzi ulifanyika? Au hili igizo la uchaguzi na Samia kujitangaza kupata kura m32 ndiyo unaita uchaguzi?