GE2025 Je, ACT Wazalendo na CHAUMMA wamelinda kura?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Je chadema wameweza kumtoa Samia Madarakani? Wameweza kuzuia Uchaguzi?
We maku kweli!
CHADEMA inafaa kupongezwa kwa kusimamia kidete no reforms no election na wananchi kuielewa...wananchi wengi hawakujitokeza kwenda kupiga kura na ndio maana nec imepata aibu kwa kuja na matokeo ambayo hayaakisi kbs uhalisia ulivyokuwa tarehe 29!.

Kiuhalisia, samuya kama kapata kura nyingi za urais ni ml 6 tuu Tz nzima, hukuona kaenda kuapishiwa maporini?!.
 
Nimeamini wizi wa kura hapa Tanganyika ni rahisi saana!
 

kupongezwa kwa kuulisha vijana wa watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…