Je, Adam Mchomvu amewahi kutangaza Mbeya FM?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Wakati Mbeya fm inaanzishwa kuna mtangazaji mmoja alikuwa akijiita tolu wa ajabu. Kipindi hicho tulikuwa tunaiona radio hiyo ya kizembe sana. Kiss ndiyo ilikuwa inabamba.

Sasa nimeambiwa kuwa yule Tolu wa ajabu ndiye Adam Mchomvu!! Linaukweli hiki?
Bujibuji
 
Ndio alikuwa Mbeya FM wakati huo na akina Bandago...

Na jioni week end alikuwa anachimbo zake pale City Pub jirani na Mbeya RETCO kabla haijavunjwa na Royal Pamodzi, Nkwenzulu Night Club ile karibu na Stand Kuu.

Alikuwa na Jingle yake pale Mbeya Fm "Kama ni Movie Basi sisi ni Arnold Schwarzenegger, kama ni mpira wa kikapu sisi ni Michael Jordan........."
 
Ndiyo ametangaza mbeya FM, alikua anajulikana kwa jina la "Tall wa ajabu"

Una swali lingine?
Yoooooooh Mchomvu wape Mashaavuuuuuu..... wape Mashavuuuuuu... haaaah

Hapa Mchomvu, pale Bandago, pale Dj Shobobo, Dula (Kaka wa Shibobo) akina Mbuza baadaye akaanzisha Sweet FM
 
Yoooooooh Mchomvu wape Mashaavuuuuuu..... wape Mashavuuuuuu... haaaah

Hapa Mchomvu, pale Bandago, pale Dj Shobobo, Dula (Kaka wa Shibobo) akina Mbuza baadaye akaanzisha Sweet FM
Bandago hivi ni mtu mmoja, nakumbuka kama kulikuwa na kundi lina hili jina. Shibobo nampata.
 
Bandago hivi ni mtu mmoja, nakumbuka kama kulikuwa na kundi lina hili jina. Shibobo nampata.
Naam alipokuwa Mbeya FM alitoa na mgoma kadhaa, kama Michano humu anakuambia usiogope Studio kama Chumba cha Sindano.
 

Kitambo sana nakumbuka!! Pia pale Mbeya Fm pia alikuwepo jamaa wa kuitwa Twali B kama sijakosea!
 
Nakumbuka miaka hiyo nipo Meta High School, huyo tall wa ajabu alikua hapo mbeya FM na kina Twali B twali Blanga blanga,Leo yupo ITV kipindi cha kumekucha kishindo
 
Bandago yupo wapi siku hizi na muziki ulimshinda pia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…