Last sentinel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2013
- 214
- 81
Je hawezi kuendelea na advance?Ushauri wangu apige diploma za chuo cha madini (Dodoma), Acheki na watu wa Muhimbili kuna crtificate za famasia, nursing. Apitie DIT aaangalie course zitakazo mfaa. Tu kwa sababu alisoma masomo ya sayansi na ndo hayo kajitahidi
Huyu jamaa ambition zake zilikuwa ni kuchukua pcb bt akadunda kwa bahat mbaya,phy-d,chem-c,bios-c,geo-d,kisw-f,maths-d,civ-d,hist-d,engli-d,div 4.26, je huyu m2 ataenda advance,na mnamshauri achukue kombi gani akienda advance???
Je,hawezi kubadl combination nyngne?Kwa jinc matokeo ya mwaka huu yalivyokuwa mabaya huyo asubilie post yake ya kwenda advance pcb coz physics hana f bal ni d kwhyo nakupa 100% lazma aende advance
Div 4-26
his-c
civ-d
geo-d
bio-c
k-d
eng-c
math-f
je huyu Anaweza Kuendelea Na Advance Kwa Private?naomben Ushauri Wenu
div 4-26
his-c
civ-d
geo-d
bio-c
k-d
eng-c
math-f
je huyu anaweza kuendelea na advance kwa private?naomben ushauri wenu
oya mbona hatuelewani,je huyo wa pcb anaweza kubadl combi ikawa eca/
Nadhani hauko sahihi sana; anaweza kwenda form V, lakini ikifika wakati wa kutaka kwenda chuo kikuu atakwama, kwa sababu atakapojaza matokeo ya form IV ikaonekana hana c tatu computer itamtema tu, Ndiyo maana tunamshauri asome kwanza diploma halafu hiyo diploma ndiyo imuingize chuo kikuu.Kwa jinc matokeo ya mwaka huu yalivyokuwa mabaya huyo asubilie post yake ya kwenda advance pcb coz physics hana f bal ni d kwhyo nakupa 100% lazma aende advance