Parody
Member
- Sep 13, 2020
- 24
- 69
Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA.
Wahuni wameshafanya yao? 🙁 Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za Microsoft. Hii hapa screenshot.
Kwenu studio.
Wahuni wameshafanya yao? 🙁 Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za Microsoft. Hii hapa screenshot.
Kwenu studio.