Je, Ajira Portal imedukuliwa?

Parody

Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
24
Reaction score
69
Wakuu, mfumo wa kuomba ajira wa sekretariet ya utumishi, Ajira Portal (portal.ajira.go.tz) unaonekana kutofanya kazi baada ya kutangazwa kwa ajira za PCCB na TRA.

Wahuni wameshafanya yao? 🙁 Hii website huwa ina shida ya Security. Nimejaribu kuingia leo jioni, napelekwa kwenye server za Microsoft. Hii hapa screenshot.

Kwenu studio.

 
wanataka wachache ahasa watotonwao ndo wapate
 
Hapana haijadukuliwa, kuna mabadiliko walikuwa wanafanya
 
Lakini pia inawezekana ni ubize umezidi maana hapo waomba ni kama milioni hivi wote wanataka nafasi 100 TRA
 

Kazi za PCCB hauapply kupitia ajira portal wewe unaaply kupitia Kwenye website yao takukuru
 
Ivi wakuu ukiandika barua ya maombi ya kazi unatakiwa kuiprint au unatuma uliyo andika kwa mkono?
 
Vip wewe ushatuma
Chief.. mdogo wangu kasoma business administration.. kashafanya kama mara 2 nafasi ya customs officer.. leo akitaka ku apply inamkatalia.. eti hana qualifications, inakuaje hii chief
 
Huenda alichosomea hakiendani na requirements za post husika.
Chief.. mdogo wangu kasoma business administration.. kashafanya kama mara 2 nafasi ya customs officer.. leo akitaka ku apply inamkatalia.. eti hana qualifications, inakuaje hii chief
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…